MSIKILIZENI MUNGU.
Katika kumbukumbu la taurati 24:16, anasema nini:
"mababa wasiuwawe kwa ajili ya watoto wao, wala watoto wasiuawe kwa ajili ya dhambi za baba zao. KILA MTU AUWAWE KWA DHAMBI ZAKE MWENYEWE.
Lakini Paulo anawadanganya eti Yesu kauliwa kwa ajili ya Madhambi yenu.