Thursday, 10 July 2014

Quran na Biblia zinahimiza kuoga Janaba.

Biblia inasema;

“Kama mwanamume yeyote akitokwa na shahawa yake, ni lazima aoge mwili mzima kwa maji..(Walawi 15:16 (BHN))

Quran inasema;

Enyi mlio amini! Mnapo simama kwa ajili ya Sala basi osheni nyuso zenu, na mikono yenu mpaka vifundoni, na mpake vichwa vyenu, na osheni miguu yenu mpaka vifundoni. Na mkiwa na janaba basi ogeni..(Quran 5:6)

No comments:

Post a Comment