Thursday, 14 August 2014

Quran na Biblia zinasema "Msujudie Mungu Wako"

Biblia ( Luka 4:8 ) inasema; 

Yesu akajibu akamwambia, Imeandikwa, Msujudie Bwana Mungu wako, umwabudu yeye peke yake.


Qur'ani Tukufu (SURAT AL-INSAN 25-26) inasema; 

Na likumbuke jina la Mungu wako asubuhi na jioni;-Na usiku msujudie Yeye, na umtakase usiku, wakati mrefu.

Quran Tukufu Surat Fusilat 37 inasema; 

Na katika Ishara zake ni usiku na mchana, na jua na mwezi. Basi msilisujudie jua wala mwezi, bali msujudieni Mwenyezi Mungu aliye viumba, ikiwa nyinyi mnamuabudu Yeye tu.

No comments:

Post a Comment