Tuesday 26 August 2014

Quran na Biblia zinahimiza kuoga Janaba

Quran inasema;

...mkiwa na janaba basi ogeni..(Quran 5:6)

Biblia inasema;

“Kama mwanamume yeyote akitokwa na shahawa yake, ni lazima aoge mwili mzima kwa maji..(Walawi 15:16 (BHN))

No comments:

Post a Comment