Thursday 10 July 2014

Manabii (katika Biblia) walioa wake zaidi ya Mmoja

Manabii wengi wa Agano la Kale
na Ma Patriarchs walikuwa na wake zaidi ya mmoja,
ikiwa ni pamoja na Lameki, Abraham, Jacob,
Esau, Gideon, Sauli, Daudi, Solomon,
Rehoboamu, Elkana, Ashuri, Abiya
na Yehoyada. baadhi ya tafsiri
pia zinaonyesha kuwa Musa alikuwa na mke wa pili
huko Tharbis. Wengine walio owa wake zaidi ya mmoja
katika Biblia ni pamoja na Abiya
wa Yuda, Ashuri, Ahabu, Ahasuero,
Ashuri, Belshaza, Ben-hadadi, Kalebu
Elifazi, Esau, Ezra, Gideon,
Yehoyakini, Yehoramu, Yerameeli,
Yoashi, Makiri, Manase, Meredi,
Nahori, Rehoboamu, Shaharaimu,
Simeoni, na Sedekia.

No comments:

Post a Comment